Treni ya mizigo ya Ferrosur Roca ilianguka mnamo Jumamosi alasiri katika eneo la Bahía Blanca, ikiashiria tukio la pili katika siku 10.